Iliyochapishwa 6 Novemba 2026, 15:03 EATImeboreshwa Dakika 26 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 5 Hukumu ya kifungo cha miaka minne jela kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu, imefungua ukurasa mpya katika safari yake ya kisiasa na mustakabali wa chama hicho, huku ikiibua maswali kuhusu hatma ya uongozi wake, Chama chake, upinzani, demokrasia na nafasi yake katika