[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

3 Julai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jun - Julai - Ago
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 3 Julai ni siku ya 184 ya mwaka (ya 185 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 181.

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Mtume Thoma, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Anatoli wa Laodikea, Memno wa Viza, Marko na Musiani, Eliodori wa Altino, Anatoli wa Konstantinopoli, Papa Leo II, Raimundi Gayrard, Yosefu Nguyen Dinh Uyen, Filipo Phan Van Minh, Petro Zhao Mingzhen, Yohane Mbatizaji Zhao Mingxi n.k.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 3 Julai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.