Papa Innocent V
Mandhari
Papa Innocent V (takriban 1225 – 22 Juni, 1276) alikuwa papa kuanzia 21 Januari, 1276 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre de Tarentaise.
Alikuwa mtawa wa shirika la Wahubiri.
Alimfuata Papa Gregori X akafuatwa na Papa Adrian V.
Viungo vya nje
Kuhusu Papa Innocent V katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |