Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Iran yasema inafanya mazungumzo na Oman lakini si na Marekani
Iran inasema inafanya mazungumzo na Oman kufikia "makubaliano" kuhusu njia ya muda kupitia Lango la Hormuz ili kuruhusu usafirishaji wa kibiashara kurejea.
Nchi 10 zinazoongoza kwa uaminifu duniani na 10 zinazofanya vibaya zaidi
Watafiti walikabidhi jumla ya pochi 17,003 zilizodaiwa 'kupotea' kwa watu wanaosimamia biashara na taasisi mbalimbali, katika miji 355 na mataifa 40.
Kwa nini dhahabu ya Afrika haifanyi Afrika kuwa tajiri?
Karibu na migodi hii mikubwa, hakuna miji iliyostawi, wala shule nzuri, wala vituo vya afya vya kisasa. Badala yake, utakutana na umaskini, uharibifu wa mazingira, na miundombinu chakavu.
Kijiji kinacholala kwa hofu: Wapalestina wanaoshambuliwa na walowezi
Tangu iliponyakua eneo la Ukingo wa Magharibi mwaka 1967 wakati wa vita vya Mashariki ya Kati, Israel imejenga zaidi ya makazi 100 yanayohifadhi zaidi ya Wayahudi laki tano.
Ndege 10 bora za kivita duniani mwaka 2026
Toleo la ndege hizi ndio ishara moja ya nguvu ya ndege, kwa hivyo ndege za kivita za toleo la tano ndio zinaongoza kwa ubora, huku toleo la 4.5 zikifuata nyuma.
Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Fenerbahce wamuwekea Rashford dau kubwa
Fenerbahce iko tayari kutoa ofa kubwa yenye thamani ya juu ili kumnasa Marcus Rashford, huku RB Leipzig ikikataa kulegeza msimamo wake katika mazungumzo na Real Madrid kuhusu usajili wa Yan Diomande.
CHADEMA yakanusha kufanya mazungumzo ya siri na serikali
Julai 30, 2026, Rais Samia alikutana na viongozi wa vyama 18 kati ya 19 vya siasa vyenye usajili wa kudumu. CHADEMA hakikushiriki mkutano huo. Katika hotuba yake, Rais alisema; "Kuna mwenzetu mmoja bado anaendelea kutafakari. Bado tunaendelea kupokea misukumo yake, conditions zake na matakwa yake,".
Sababu ya vijana wengi wa kiume kufunga mirija ya uzazi
Kadiri idadi ya wanaume vijana wanaofanyiwa vasectomy inavyozidi kuongezeka, BBC News ilizungumza na wanaume wawili ili kufahamu sababu zilizowafanya wachague kufanyiwa upasuaji huo.
Kwanini kondo la nyuma linauzwa katika soko haramu?
Mwisho wa mwezi uliopita, mamlaka zilikamata kilo 500 za kile walichoamini kuwa ni kondo la nyuma la binadamu katika kituo haramu cha kuchakata bidhaa hizo mjini Islamabad, na kuwakamata watu watano.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Nchimbi awaambia Watanzania: "Pambaneni mpate Katiba mpya"
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuendelea kudai kupatikana kwa Katiba mpya yenye maridhiano ya kitaifa, akisema ndiyo msingi wa kuimarisha haki za binadamu, utawala bora na demokrasia nchini.
Kwa nini mpenzi wa kwanza hawezi kusahaulika?
Kwa watu wengi, kupendwa kwa mara ya kwanza ni jambo wanalokumbuka kwamuda mrefu maishani.
'Baada ya kuthibitishwa kuwa nina ugonjwa huu nilitamani kufa'
Kulingana na Nduta ugonjwa huu una dalili zaidi ya 40 na kila mmoja ana dalili zake. Lakini anachokijua ni kwamba kadiri miaka inavyoongezeka ndivyo hali ya ugonjwa huu inavyoendelea kuwa mbaya.
Freemasons waelezea taratibu zao na faida za kuwa mwanachama
Kuanzia salamu za siri za mikono na kukunja ncha za suruali hadi tuhuma za upendeleo kwa watu wa karibu, uonevu na kukandamiza mageuzi, sifa ya Freemasons haijawahi kuwa nzuri wakati wote.
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Klabu, pombe na elimu, ndani ya 'Drunken Lectures' jijini Nairobi
Mazingira ya klabu yanasemekana kuwa rahisi kwa watu kuelewa masuala muhimu katika jamii ambayo yanawahusu au kuwagusa moja kwa moja.
Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026
Elimu inasalia kuwa mojawapo ya vichocheo muhimu zaidi vya maendeleo kote Afrika, na Afrika Mashariki haijabaguliwa.
Kwa nini ujenzi wa msikiti nchini Japan umezua utata?
Mipango ya kujenga kituo cha Kiislamu katika Fujisawa, mji tulivu wa pwani ulio takribani saa moja kwa gari kusini mwa Tokyo, imeibua hisia tofauti miongoni mwa wakazi.
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
Mwaka wa 2026 umeshuhudia visa vya kutisha vya uhuni ambavyo mpaka leo ni wachache ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kukabiliwa na mashtaka.
Dalili ndogo 5 ambazo watu wengi huzipuuzia, lakini zinaweza kuashiria ugonjwa mkubwa
Mabadiliko mwilini huanza taratibu na huweza kuchukuliwa kuwa uchovu wa kawaida au mabadiliko ya maisha ya kila siku. Hata hivyo, zinaweza kuwa onyo la mapema kwamba mwili unapitia hali isiyo ya kawaida inayohitaji uchunguzi wa kitaalamu.
Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei yuko wapi?
Mojtaba Khamenei, ambaye alitangazwa kuteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, ndani ya wiki moja tangu kuuawa kwa baba yake, bado hajaonekana hadharani.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 4 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 4 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 4 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 3 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani